-Mwanafunzi kutoka Bomet anaendelea kuzngumziwa katika mitandao ya kijamii baada ya majibu ya mtihani wake kutolewa
-Swali hilo lilihusiana na wajibu wa wavulana katika jamii yake, majibu yake pia ‘yametoka moyoni’
Picha kutoka Bomet inayoendelea kuenea mitandaoni huenda hivi karibuni ‘ikaangusha’ mtandao wa intaneti.
Hii ni kutokana na majibu aliyotoa mwanafunzi huyo kuhusiana na wajibu wa wavulana katika jamii yake.

Habari Nyingine: Gavana Joho ashinda lakini apuzilia mbali matokeo ya IEBC
Wakazi wengi Bomet wametoka jamii za Kipsigis na Nandi ambazo kazi yake muhimu ni ufugaji wa mifugo.
Ikiwa majibu yaliyo katika picha hiyo yanaweza kuzingatiwa, inakaa majukumu yao yamebadilika.
Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE
Zaidi ya kuonyesha uozo katika jamii ya kisasa, majibu ya mwanafunzi huyo yanachekesha mno ingawa tukiyaangalia vinginevyo yanaweza kuwa ni ukweli.
Tazama majibu hayo katika karatasi hii ya mtihani. Ninajua majibu hayo yatakuvunja mbavu.

Habari Nyingine: Magavana 20 watemwa nje wakati wa uchaguzi
Majibu hayo hayakumpendeza mwalimu wake, aliyemtuma mwanafunzi huyo nyumbani kumleta mamake shuleni.
Subscribe to watch new videosSubscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos
Read ENGLISH VERSION
Una maoni?Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaYZ4fZdmpJqimZfCbsXAZqSwmZ6Ws7a62aJkpK2kpLiiecGopJ6sXaDCqcHSrmSmmZqquLa51GawmmWnlsO2uMCnmGaxkamurMHVrqWjmV2ir2%2B006aj